Usalama mdogo milimani mirefu ya Minembwe
Wanamugambo wa vikundi vyenye kumiliki silaha tarafani fizi na Mwenga tukitaja wa Mai Mai, Interahamwe na Gumino ndiyo wanasababisha usalama mdogo milimani mirefu ya Minembwe . Ni uhakikisho uliyo tolewa ndani ya kikao cha usalama kilichofanyika ndani ya chumba la poste kuu ya Minembwe.Walikuwepo viongozi wengi wa asili,kamanda wa FARDC kanali blaise Mpunzu, kiongozi wa groupement basimunyaka sud KASHINDI KITONGO, na viongozi wengine wa serkali. Baraza ilo la Usalama limefanyika hii siku ya Tatu tarehe 29 10.Vikundi hivyo vimepora wakaaji katika vijiji tofauti za Milima mirefu.
Wakaaji waeneo zinazo kumbwa na tatizo hilo wanaomba kulindiwa usalama. Mukiza Gadi Nzabinesha mukuu wa poste kuu ya Minembwe anaeleza mengi akiojiana na Bi Anne nanduhura.