oct
30
2015

Usalama mdogo milimani mirefu ya Minembwe

Wanamugambo wa vikundi vyenye kumiliki silaha tarafani fizi na Mwenga  tukitaja wa Mai Mai,  Interahamwe  na  Gumino  ndiyo wanasababisha usalama mdogo    milimani mirefu  ya Minembwe  . Ni uhakikisho  uliyo tolewa ndani ya kikao cha usalama kilichofanyika  ndani ya chumba la poste kuu ya Minembwe.Walikuwepo viongozi wengi wa asili,kamanda wa FARDC  kanali blaise Mpunzu,  kiongozi wa  groupement basimunyaka sud  KASHINDI KITONGO,  na  viongozi  wengine  wa serkali. Baraza ilo la Usalama limefanyika hii siku ya Tatu tarehe 29 10.Vikundi hivyo vimepora  wakaaji katika vijiji tofauti za Milima mirefu.

 Wakaaji  waeneo  zinazo  kumbwa na tatizo hilo wanaomba kulindiwa usalama. Mukiza Gadi Nzabinesha  mukuu wa poste kuu ya Minembwe anaeleza mengi akiojiana na Bi Anne nanduhura.

 

Langues: 
Genre journalistique: 
Thématiques: 

Partager