mai
23
2016

Uvira : Kilalo cha muda cha muto Kavimvira kimefunguliwa

Kilalo cha muda cha muto kavimvira kime funguliwa rasmi hiyi leo siku ya tano 20 mei naye mkuu wa tarafa la Uvira, mbele ya kamati ya usalama ya tarafa la Uvira, na raia walio kuja ku huzuria kwenye uzinduzi huo. Kwake mkuu wa tarara, kilalo hiho kime funguliwa kwa muda, ili ku pima nguvu yake, kwa ku subiri uzinduzi rasmi utakao fanyika punde tu. Kufuatana tu na duru hiyi, ni gari zisizo zidi tani 45 ndizo za ruhusiwa ku pitakwenye kilalo hicho.

Kwa upande wake, kiongozi wa OVD, ame taja yakwamba gari zote za ruhusiwa ku pita kwenye kilalo hicho, isipo kuwa tu zile gari kubwa zinazo zidi tani 45 ndizo zita endelea ku pita kwenye mto Kavimvira.

Kwao watumiaji wa barabara kubwa N°5, wame taja ku furahi kwa kufungua kilalo hicho, kwa sababu matatizo yao yalikuwa mengi.

Lucien Kanana

Messager du Peuple 

Langues: 
Genre journalistique: 
Thématiques: 

Partager