juin
12
2015

BARAKA : WAGONJWA WA UKIMWI WAHANZA KUJITAMBULISHA RASMI NA KUHAMASISHA WENGINE KUFANYA HIVYO

Wakati huu gonjwa la ukimwi likiwa miongoni mwa janga kubwa ulimwenguni, katika jiji la Baraja Tarafani Fizi jimboni kivu ya kusini mashariki mwa DRC,waathirika wa ukimwi uchukuliwa na jamii kama wasio faa na wengine wengi uhishi kwa unyanyapaa. Lakini licha ya hio kwasasa baadhi ya waathirika wa ukimwi wameanza kujitokeza na kujitambulisha rasmi kama wagonjwa wa ukimwi na kuwaomba wengine kufanya hivyo ilikuamasisha jamii.

Mwandishi BYOBE MALENGA amekutana na mmoja wawaathirika wa ukimwi na kufanya mazungumzo naye.

Langues: 
Genre journalistique: 
Thématiques: 
Durée: 
00:03:38

Partager