juin
27
2015

FIZI: Wasanii waanzisha kampendi za kupinga vitendo vya ubakaji dhidi ya Mwanamke

BYOBE_MALENGA.jpg

Picha ya mavazi ya wacheza muziki wa asili pa baraka

Ni Baada ya vitendo vya ubakaji kuripotiwa mara kwa mara ndani ya Tarafa la Fizi, ndipo baadhi ya wasani wa nyimbo mbalimbali wametangaza kuingilia kati suala hilo nakuanzisha kampeni za kupinga vitendo hivyo viovu dhidi ya mwanamka.mmoja wawanao ambae analivalia njuga suala hilo ni MBAKU KAPOKELA maarufu shushu de Baraka ambae nimpiga muzuki na densi za asili. Kutoka baraka ,BYOBE MALENGA Wa Radio Ngoma ya Amani aliandaa tarifa hii kwa niaba ya Infos Grands Lacs.

Langues: 
Genre journalistique: 
Durée: 
00:04:15

Partager