sep
24
2015

SUD-KIVU: Wito watolewa kwa wagonjwa wa Ukoma

leprosy.jpg

mtu mwenye ugonjwa wa ukoma

Katika juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa ukoma katika jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo ,Idara ya masuala ya afya mashariki mwa hapa DRC , imewaomba wakaazi kujitokeza kwa wingi kwenye vituo vya afya wakati wanapo patwa na ugondjwa wa Ukoma na au dalili zake .
Ugonjwa huo ambao ni miongoni mwa magonjwa yaliosahaulika katika maeneo mengi duniani husababisha madhara makubwa ikiwemo ulemavu n ahata vifo .

Langues: 
Genre journalistique: 
Thématiques: 
Durée: 
00:03:43

Partager